Welcome

Habari

Ninaitwa Elly Ombeni Marimbocho

Mkurugenzi mtendaji wa Jenga Real Estate

Lengo letu ni kusaidia watu kujenga nyumba za kisasa zenye ubora wa hali ya juu na mvuto wa pekee kwa gharama nafuu.


Tuna timu ya mafundi wenye ujuzi, ubunifu na uzoefu mkubwa katika fani ya ujenzi. Tunajenga nyumba za kuishi, majengo ya biashara, nyumba za ibada n.k. Pia tunafanya finishing za kisasa ndani na nje ya majengo. Tualike tutembelee site yako ili tushirikiane kujenga nyumba ya ndoto yako.

Huduma Zetu

Ujenzi

Tunafanya ujenzi wa nyumba za kuishi na majengo ya biashara.

Finishing

Tunafanya finishing za kisasa za ndani na nje(interior and Exterior design).

Mifumo ya maji (plumbing)

Tunaweka mifumo ya kisasa ya maji safi na maji taka katika majengo.

Mifumo ya umeme

Tunafanya wiring za kisasa, salama na zinazoendana na mahitaji yako.

Kuezeka (roofing)

Tunaezeka nyumba za kuishi na majengo ya biashara.

Ushauri wa kitaalamu

Tunatoa ushauri wa kitaalamu kuhusiana na ujenzi.

25

Miradi tuliyo kamilisha

25

Wateja walio furahia

7

Miradi tunayo endelea nayo

6

Awards

Makala.

Soma makala mbalimbali za ujenzi zilizochapishwa kwenye blog yetu.

Wasiliana Nasi

Wasiliana nasi kupitia fomu hapa chini au namba za simu zilizopo chini zaidi baada ya fomu

Jina lako*


Ujumbe*


  • Phone+255 712 592 186
  • Whatsapp+255 712 592 186
  • Emailjengaestate@gmail.com

Pages