Jenga Nyumba ya Kisasa Popote Ulipo Tanzania

 Hakuna haja tena ya kuwa na wasiwasi pindi unahitaji kujenga nyumba yako. Hii ni kutokana na uwepo wa kampuni ya Jenga Real Estate ambayo ina mafundi wenye ubora wa hali ya juu watakao fanya kazi yako kwa uaminifu wa hali ya juu.

Kazi zetu zinajitangaza zenyewe, pia unaweza kutembelea site tunazojenga ili ujionee uwezo na uchapakazi wa mafundi wetu.


Gharama zetu pia ni nafuu sana na ubora wa kazi zetu hauna shaka. Endapo unahitaji kujenga au kufanya finishing ya nyumba Dodoma, Dar Es Salaam, Mwanza, Arusha, Mbeya, Tanga, Geita au popote pale nchini Tanzania basi wasiliana nasi leo.


Piga: +255 741 422 186
Whatsapp: +255 712 592 186


Pages